Friday, February 6, 2009

Chenge alivyopokelewa "Kishujaa" Bariadi



Aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Bw. Andrew Chenge, wakati alipopokelewa "Kishujaa" na wananchi wa Bariadi wakati akirejea jimboni humo baada ya kujiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi zinazomkabili. Hivi kweli alistahili kupokelewa namna hii. Toa maoni yako.

No comments:

Post a Comment